SHEBBY-MMOKO BLOG
SPORTS + WORLD NEWS + GOSSIP + BREAKING NEWS
Ijumaa, 12 Julai 2013
NEW VIDEO GERRY WA RHYMES- LOVELY.......OFFICIAL VIDEO
kichupa kipya kutoka kwa Gerry wa Rhymes be the first to watch here
Mfungaji bora kagame cup 2013 amwaga wino msimbazi
Hatimae mfungaji bora wa michuano ya kombe la kagame cup 2013,
mchezaji Amissi Tambwe amefanikawa kujiunga na Timu ya Simba
ya Dar es salaam kwa mkataba wa miaka miwili
alisaini mkataba huo akiwa ofisni kwa kiongozi wa usajili, wa simba
Zakari Hans Pope
Mchezaji Amissi Tambwe akieka dole gumba.
kuashiria kajiunga na na club ya Simba huku akishuhudiwa na
Zakaria Hans Pope
Temeke, Dar Es Salaam, Tanzania
Temeke, Tanzania
YANGA NA RHINO ZATOKA SARE
Mabingwa wa ligi kuu Tanzania Bara timu ya Young Africans jana imetoka suluhu,
ya bila kufungana na timu ya Rhino, katika mchezo wa kirafiki uliofanyika katika
ya bila kufungana na timu ya Rhino, katika mchezo wa kirafiki uliofanyika katika
uwanja wa Al-hassan Mwinyi mjini Tabora.YANGA waliokuwa wakicheza
mchezo wake wa mwisho baada ya michezo miwili ya awali dhid ya, Express ya Uganda.
Ambapo ilitoka sare mchezo mmoja na kufungwa mchezo mmoja iliwakilishwa na wachezaj
1, Dida 2, Juma Abdul 3, Oscar Joshua 4, Mbuyu Twitte 5, Rajab Zahir/Ibrahim Job
6, Salum Tellela 7, Nizar Khalfan 8, Hamisi Thabit/Abdallah Mnguli, 9. Didier Kavumbagu,
10. Jerry Tegete/Shaban kondo, 11. Said Bahanuzi
Temeke, Dar Es Salaam, Tanzania
Temeke, Tanzania
Guadiola vitani na Man u.t.d
Kocha mpya wa mabingwa wa ujerumani,
na ulaya Bayern Munchen Pep Guadiola ameingia kwanye vita,
ya kumuwania mchezaji kinda wa Barcelona Thiago Alcantara
ambae pia anawaniwa na club ya man u.t.d baada ya kuzungumza.
Na wandishi wa habari huku akisema anamtaka mchezaji huyo,
pia akiuambia uongozi wa Bayern ufanye kila linalowezekana
ili wamsajili

Jumatatu, 8 Julai 2013
Habar za usajila GARAY akaribia Man u.td ABIDAL asajiliwa Monaco
Habari za usajili zimezidi kupamba moto, barani ulaya.
Kwa mujibu wa chanzo cha record, kimesema Man u.t.d
ipo katika hatua nzuri kumsajili mlinzi wa timu ya Benfica,
ya ureno Ezequel Garay, na ripoti zinasema dili kukamilika ndani ya wiki hii,
Taarifa nyingine zinasema mchezaji aliekimbia uongozi Barcelona, amekamilisha mpango wa kujiunga na,
na timu kutoka nchini kwao ufaransa ya Monaco

Dar es Salaam, Tanzania
Jisajili kwenye:
Machapisho (Atom)