kurasa

Ijumaa, 12 Julai 2013

TETESI: BAHARESA KULETA KING'AMUZI


Kuna tetesi mfanya biashara maarufu Saidi Salim Baharessa,
yuko mbioni kuleta king'amuzi chake tena kwa kwa bei cheeeee.....

HIZI NDO GHARAMA ZAKE: king'amuzi kitauzwa kwa bei ya tsh, 30000.
Na kwa mwezi utakua ukilipia 2000 za kitanzani....
Tusubiri tuone kama ni kweli

NEW VIDEO GERRY WA RHYMES- LOVELY.......OFFICIAL VIDEO

kichupa kipya kutoka kwa Gerry wa Rhymes be the first to watch here

Mfungaji bora kagame cup 2013 amwaga wino msimbazi

Hatimae mfungaji bora wa michuano ya kombe la kagame cup 2013,
 mchezaji Amissi Tambwe amefanikawa kujiunga na Timu ya Simba
ya Dar es salaam kwa mkataba wa miaka miwili













alisaini mkataba huo akiwa ofisni kwa kiongozi wa usajili, wa simba
Zakari Hans Pope













Mchezaji Amissi Tambwe akieka dole gumba.
kuashiria kajiunga na na club ya Simba huku akishuhudiwa na
Zakaria Hans Pope

YANGA NA RHINO ZATOKA SARE

Mabingwa wa ligi kuu Tanzania Bara timu ya Young Africans jana imetoka suluhu,
ya bila kufungana na timu ya Rhino, katika mchezo wa kirafiki uliofanyika katika
uwanja wa Al-hassan Mwinyi mjini Tabora.YANGA waliokuwa wakicheza
mchezo wake wa mwisho baada ya michezo miwili ya awali dhid ya, Express ya Uganda.
Ambapo ilitoka sare mchezo mmoja na kufungwa mchezo mmoja iliwakilishwa na wachezaj
1, Dida 2, Juma Abdul 3, Oscar Joshua 4, Mbuyu Twitte 5, Rajab Zahir/Ibrahim Job
6, Salum Tellela 7, Nizar Khalfan 8, Hamisi Thabit/Abdallah Mnguli, 9. Didier Kavumbagu,
10. Jerry Tegete/Shaban kondo, 11. Said Bahanuzi

Guadiola vitani na Man u.t.d

Kocha mpya wa mabingwa wa ujerumani,
na ulaya Bayern Munchen Pep Guadiola ameingia kwanye vita,
ya kumuwania mchezaji kinda wa Barcelona Thiago Alcantara













ambae pia anawaniwa na club ya man u.t.d baada ya kuzungumza.
Na wandishi wa habari huku akisema anamtaka mchezaji huyo,
pia akiuambia uongozi wa Bayern ufanye kila linalowezekana
ili wamsajili

kwenye usajili club ya Napoli yakamilisha usajili wa Jose Callejon

Club ya Napoli ya Italia imefanikiwa kumsajili mchezaji, kutoka Real Madrid
ya hispania Jose Callejon kwa kititta cha paund zauingereza 10 million

Jumatatu, 8 Julai 2013

Habar za usajila GARAY akaribia Man u.td ABIDAL asajiliwa Monaco

Habari za usajili zimezidi kupamba moto, barani ulaya.
Kwa mujibu wa chanzo cha record, kimesema Man u.t.d
ipo katika hatua nzuri kumsajili mlinzi wa timu ya Benfica,
ya ureno Ezequel Garay, na ripoti zinasema dili kukamilika ndani ya wiki hii,
Taarifa nyingine zinasema mchezaji aliekimbia uongozi Barcelona, amekamilisha mpango wa kujiunga na,
na timu kutoka nchini kwao ufaransa ya Monaco

HII NDIO VIDEO YA WEMA SEPETU AKIWAWAKIA NA KUWATUKANA WAFANYA KAZI WAKE


Jumapili, 7 Julai 2013

January Makamba ajiuma kuhusu kodi za laini

Naibu Waziri wa Mawasiliano, Sayansi, na Teknolojia mh:
January Makamba, ameonekana kutoa majibu ya kujiuma, wakati,
akitetea hoja ya serikali kuhusu kodi ya tsh: 1,ooo katika laini za mitandao ya simu
kila mwezi kwa kila mtanzania











na haya ndio majibu yake katika mtandao wa twitter wakati ,
akiulizwa na wananchi wanaotumia mtandao huo

















Amesema kwamba wizara ya Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia ilipinga kodi hiyo.
Amesema kwamba hazina (Wizara ya Fedha) walikubaliana,
na Wizara ya Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia kuhusu kodi hiyo.
"Amesema bunge ndio lililopitisha kodi hiyo, na si Wizara ya Mawasilano, Sayansi na Teknolojia

LEWANDOWSKI KUKIPIGA BAYERN

Kocha wa klabu ya Dortumund, Jurgen Klopp amesema anaamini  mchezaji, Robert Lewandowski
anaweza kukipiga Bayern Munchen msimu ujao
Mkataba wa Mpoland huyo unarajia kumalizika 2014.
Amekua akihusishwa na kutaka kuhamia upande wa pili, kwenye timu ya Bayern
akiongea na Goal.com amenukuliwa akisema "i think it is known fact that Robert going to play,
for bayern after the upcoming  season amenukuliwa kocha huyo akisemahttp://www.goal.com/en/news/11/transfer-zone/2013/07/07/4100678/klopp-lewandowski-will-play-for-bayern-next-season

C.RONALDO AMPA NEEMA NEYMAR

Mchezaji Cristiano Ronaldo amemtakia, kila la heri mchezaji mpya wa Barcelona.
Neymar katika maisha mapya huko jijini catalunya