kurasa

Jumapili, 7 Julai 2013

January Makamba ajiuma kuhusu kodi za laini

Naibu Waziri wa Mawasiliano, Sayansi, na Teknolojia mh:
January Makamba, ameonekana kutoa majibu ya kujiuma, wakati,
akitetea hoja ya serikali kuhusu kodi ya tsh: 1,ooo katika laini za mitandao ya simu
kila mwezi kwa kila mtanzania











na haya ndio majibu yake katika mtandao wa twitter wakati ,
akiulizwa na wananchi wanaotumia mtandao huo

















Amesema kwamba wizara ya Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia ilipinga kodi hiyo.
Amesema kwamba hazina (Wizara ya Fedha) walikubaliana,
na Wizara ya Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia kuhusu kodi hiyo.
"Amesema bunge ndio lililopitisha kodi hiyo, na si Wizara ya Mawasilano, Sayansi na Teknolojia

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni