kurasa

Ijumaa, 12 Julai 2013

Mfungaji bora kagame cup 2013 amwaga wino msimbazi

Hatimae mfungaji bora wa michuano ya kombe la kagame cup 2013,
 mchezaji Amissi Tambwe amefanikawa kujiunga na Timu ya Simba
ya Dar es salaam kwa mkataba wa miaka miwili













alisaini mkataba huo akiwa ofisni kwa kiongozi wa usajili, wa simba
Zakari Hans Pope













Mchezaji Amissi Tambwe akieka dole gumba.
kuashiria kajiunga na na club ya Simba huku akishuhudiwa na
Zakaria Hans Pope

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni